Sr. Violet Kwanungu LSOF MAISHA YETU, HISTORIA YETU Maisha yetu ya leo ndio historia yetu ya kesho, itakayokumbukwa tukiwa hatupo tena hapa duniani.Tulivyo leo sivyo tulivyokuwa jana, tutakavyokuwa kesho ni matokeo ya jinsi tunavyoishi leo.Tuishi vizur... About Life History 13 Jan 2026
Sr. Violet Kwanungu LSOF MAISHA NI SAFARI Maisha ni safari na wala kakuna binadamu anayejua mwisho wa safari yake hapa duniani. Maisha ni fumbo kwani hakuna binadamu mwenye uhakika wa maisha yake ya kesho, tuishi vizuri leo kwani kesho siyo y... About Life 8 Jan 2026
Sr. Violet Kwanungu LSOF MAISHA NI ZAWADI MAISHA NI ZAWADI Maisha ni zawadi nzuri aliyotujalia Mwenyezi Mungu ni zawadi ambayo hatuwezi kuipata mahali pengine popote pale. Uhai wa maisha yetu, ni zawadi isiyoweza kununulika kwa ghalama zozote... About Life 6 Jan 2026