Myovelayeronimocy Parokia ya Mt. Petro Oysterbay Yashinda Tuzo ya Jumla ya Shindano la ‘Kapu la Mama Maria’ la Radio Maria kwa ajili ya Uinjilishaji Duniani Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro katika Oysterbay, Dar es Salaam, limeibuka kuwa mshindi wa kwanza na wa jumla kwa mchango wake bora katika mahitaji ya uendeshaji na maendeleo ya Radio Maria Tanzani... 3 Feb 2026 Hadithi za Mafanikio
St Peter's Catholic Church, Administrator Matangazo ya Dominika ya Nane ya Mwaka A MATANGAZO YA PAROKIA Tunawashukuru sana jumuiya ya Mt. Hyasinta waliosafisha Kanisa jana. Idadi yao ni 14. Wiki ijayo ni zamu ya Jumuiya ya Mt. Agatha wakifuatiwa na Jumuiya ya Mt. Kwaya ya Moyo Mt. w... 3 Feb 2026 Matangazo ya Jumapili
Sr. Violet Kwanungu LSOF YESU NIJALIE MOYO WA SALA "Ikawa alipokuwa mahali fulani akiomba, alipokwisha, mmoja katika wanafunzi wake alimwambia, Bwana, tufundishe sisi kusali, kama vile Yohane alivyowafundisha wanafunzi wake." (Luka 11:1) Ee Yesu, nija... 30 Jan 2026 Blog yetu
St Peter's Catholic Church, Administrator MATANGAZO YA DOMINIKA YA TATU YA MWAKA A MATANGAZO YA PAROKIA 1. Usafi wa Kanisa Tunawashukuru Jumuiya Ndogo ya Wakristo ya Mtakatifu Polycarp kwa kusafisha kanisa jana. Jumla ya wanachama 12 walihusika. Wiki ijayo, wajibu huu utatekelezwa n... St. Peter’s Catholic Church Sunday announcement 25 Jan 2026 Matangazo ya Jumapili
Sr. Violet Kwanungu LSOF ROHO NDIYO ITIAYO UZIMA ROHO NDIYO ITIAYO UZIMA “Roho ndiyo itiayo uzima, mwili haufai kitu; maneno hayo niliyokuambia ni roho, tena ni uzima.” (Yohane 6:63) Hatuwezi kupata asali ikiwa hatuna mizinga ya nyuki, na wala hutuw... 22 Jan 2026 Blog yetu
Sr. Violet Kwanungu LSOF OMBENI BILA KUKOMA “Sala ni mazoezi ya kila siku yanayotupa nguvu rohoni na kutujengea mahusiano mema na Mungu. Sali wakati unapofanikiwa, sali ukiwa na furaha, sali ukiwa na amani, sali hata usipohitaji sala. Sala ni h... About Prayer 19 Jan 2026 Blog yetu
St Peter's Catholic Church, Administrator MATANGAZO DOMINIKA PILI YA MWAKA A Matangazo ya Parokia Tunawashukuru sana jumuiya ya Mt. Martin wa Pores waliosafisha Kanisa jana. Idadi yao ni 12. Wiki ijayo ni zamu ya Jumuiya ya Mt. Polycarp wakifuatiwa naJumuiya ya Mt. Hyasinta . ... St. Peter’s Catholic Church Sunday announcement 18 Jan 2026 Habari
Sr. Violet Kwanungu LSOF MAISHA YETU, HISTORIA YETU Maisha yetu ya leo ndio historia yetu ya kesho, itakayokumbukwa tukiwa hatupo tena hapa duniani.Tulivyo leo sivyo tulivyokuwa jana, tutakavyokuwa kesho ni matokeo ya jinsi tunavyoishi leo.Tuishi vizur... About Life History 13 Jan 2026 Blog yetu
St Peter's Catholic Church, Administrator MATANGAZO Sherehe ya UBATIZO WA BWANA Matangazo ya Parokia Tunawashukuru sana jumuiya ya Mt. Dominiko waliosafisha Kanisa jana. Idadi yao ni 27. Wiki ijayo ni zamu ya Jumuiya ya Mt. Martin wa Pores wakifuatiwa naJumuiya ya Mt. Polycarp . ... 11 Jan 2026 Matangazo ya Jumapili
Sr. Violet Kwanungu LSOF MOYO WA YESU USIOCHOKA KUTUPENDA Mwanangu, huu ni moyo wangu unaokupenda, hakuna moyo mwingine uliojaa mapendo kama moyo wangu. Usiache kuutafakari moyo wangu mtakatifu. Hakuna moyo mwingine utakaokupenda, kama moyo wangu unavyokupen... 8 Jan 2026 Blog yetu
Sr. Violet Kwanungu LSOF MAISHA NI SAFARI Maisha ni safari na wala kakuna binadamu anayejua mwisho wa safari yake hapa duniani. Maisha ni fumbo kwani hakuna binadamu mwenye uhakika wa maisha yake ya kesho, tuishi vizuri leo kwani kesho siyo y... About Life 8 Jan 2026 Blog yetu
Sr. Violet Kwanungu LSOF Vijana, Taifa la Kesho Vijana wategemewa, ndilo la kesho Taifa. Uwepo wenu vijana, ni furaha kwa Taifa. Wa kesho viongozi wetu , ni ninyi vijana wetu. Tambua thamani yenu, tunu ya taifa letu. Msipeperushwe vijana , na upepo... Youth 6 Jan 2026 Blog yetu