Sr. Violet Kwanungu LSOF YESU NIJALIE MOYO WA SALA "Ikawa alipokuwa mahali fulani akiomba, alipokwisha, mmoja katika wanafunzi wake alimwambia, Bwana, tufundishe sisi kusali, kama vile Yohane alivyowafundisha wanafunzi wake." (Luka 11:1) Ee Yesu, nija... 30 Jan 2026
Sr. Violet Kwanungu LSOF ROHO NDIYO ITIAYO UZIMA ROHO NDIYO ITIAYO UZIMA “Roho ndiyo itiayo uzima, mwili haufai kitu; maneno hayo niliyokuambia ni roho, tena ni uzima.” (Yohane 6:63) Hatuwezi kupata asali ikiwa hatuna mizinga ya nyuki, na wala hutuw... 22 Jan 2026
Sr. Violet Kwanungu LSOF OMBENI BILA KUKOMA “Sala ni mazoezi ya kila siku yanayotupa nguvu rohoni na kutujengea mahusiano mema na Mungu. Sali wakati unapofanikiwa, sali ukiwa na furaha, sali ukiwa na amani, sali hata usipohitaji sala. Sala ni h... About Prayer 19 Jan 2026
Sr. Violet Kwanungu LSOF MAISHA YETU, HISTORIA YETU Maisha yetu ya leo ndio historia yetu ya kesho, itakayokumbukwa tukiwa hatupo tena hapa duniani.Tulivyo leo sivyo tulivyokuwa jana, tutakavyokuwa kesho ni matokeo ya jinsi tunavyoishi leo.Tuishi vizur... About Life History 13 Jan 2026
Sr. Violet Kwanungu LSOF MOYO WA YESU USIOCHOKA KUTUPENDA Mwanangu, huu ni moyo wangu unaokupenda, hakuna moyo mwingine uliojaa mapendo kama moyo wangu. Usiache kuutafakari moyo wangu mtakatifu. Hakuna moyo mwingine utakaokupenda, kama moyo wangu unavyokupen... 8 Jan 2026
Sr. Violet Kwanungu LSOF MAISHA NI SAFARI Maisha ni safari na wala kakuna binadamu anayejua mwisho wa safari yake hapa duniani. Maisha ni fumbo kwani hakuna binadamu mwenye uhakika wa maisha yake ya kesho, tuishi vizuri leo kwani kesho siyo y... About Life 8 Jan 2026
Sr. Violet Kwanungu LSOF Vijana, Taifa la Kesho Vijana wategemewa, ndilo la kesho Taifa. Uwepo wenu vijana, ni furaha kwa Taifa. Wa kesho viongozi wetu , ni ninyi vijana wetu. Tambua thamani yenu, tunu ya taifa letu. Msipeperushwe vijana , na upepo... Youth 6 Jan 2026
Sr. Violet Kwanungu LSOF MAISHA NI ZAWADI MAISHA NI ZAWADI Maisha ni zawadi nzuri aliyotujalia Mwenyezi Mungu ni zawadi ambayo hatuwezi kuipata mahali pengine popote pale. Uhai wa maisha yetu, ni zawadi isiyoweza kununulika kwa ghalama zozote... About Life 6 Jan 2026
Sr. Violet Kwanungu LSOF ALAMA ZA NYAYO ZA MIGUU YAKO ALAMA ZA NYAYO ZA MIGUU YAKO Alama za nyayo za migugu yako hazifanani na alama za nyayo za miguu ya mtu mwingine yeyote yule. Kila unakoelekea alama za nyayo zako, hukufuata nyuma yako na wala huwezi ... History 18 Des 2025
Sr. Violet Kwanungu LSOF USIOGOPE MAANA NIMEKUKOMBOA Usiogope kuendelea na safari ya maisha yako, hata kama njia yako ina giza na wala huoni mwanga mbele yako. Usigogope kuendelea na safari ya maisha yako, hata kama unapita mbuganikwenye wanyama wakali.... Encouraging 15 Des 2025
Sr. Violet Kwanungu LSOF BINADAMU SIO KITU PASIPO MUNGU KUMFANYA KUWA NI KITU MTU HANA KITU BILA MUNGU ANAPOMFANYA KITU “Ndipo Daudi, mfalme, akaingia, akaketi mbele za Bwana, akasema, ‘Mimi ni nani, Bwana Mungu, na nyumba yangu ni nini, hata umenileta hata hapa?” (2Samweli 7:1... 15 Des 2025
St Peter's Catholic Church, Administrator Leo XIV - Siku ya Vijana Duniani “Ninyi pia ni mashahidi wangu, kwa sababu mmekuwa pamoja nami” (Yoh 15:27). Wapenzi vijana, Ninapokianza ujumbe wangu wa kwanza kwenu, ningependa kusema asante! Asante kwa furaha mliyoileta mlipokuja ... 28 Okt 2025